Bi. Irene Leshore.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/G.Kaneiya)
Ni muhimu akina mama watambulike na wapatiwe nafasi katika kuchangia
maswala muhimu ya jamii kwa sababu mara nyingi wanawake wanabaguliwa na
hali hiyo inakuwa mbaya zaidi kwa wanawake kutoka jamii za asili. Hiyo
ni kauli ya Bi Irene Leshore, ambaye ni mwanamke wa jamii ya asili ya
wasamburu kutoka Kenya.
Akizungumza kandoni mwa mkutano watu wa jamii asilia unaoendelea hapa
New York, Bi Leshore ambaye ni mjumbe wa bunge kaunti ya Samburu
anasema wanawake wanapaswa kushirikishwa katika uongozi kwani
(Sauti ya Irene)
Halikadhalika Bi. Leshore amezungumzia dhana ya jamii husika kuhusu uwezo wa wanawake kuwa viongozi
No comments:
Post a Comment