Tuesday 17 May 2016

FEMALE CHILD RIGHTS



WHAT ARE CHILD RIGHTS?  

  1. Right to Life 
  2. Right to be developed
  3. Right to protection 
  4. Right to participate



A woman can deepen baby girl

If we want woman to get her rights, it should be considered its role in society. Categories recognize the position of women in society is. A woman recognized in society and society must be known his position will enable the woman.

We have help children to know that women opportunities and a better future. The Bible says Train up a child in the way he/ she should go and he/ she will not depart from it when he/ she is old.

Girls children are the mothers of tomorrow.
  Parents must help to receive a better education that will help them later in the caretakers of our children as they are the abides by children for a long time. Categories to be a positive attitude.

Parents mop and patriarchy that educating a girl is a loss because she is married. These are negative thoughts
 
(Mtoto wa KIKE
KUMWEZESHA MWANAMKE NI KUMWEZESHA MTOTO WA KIKE
Tukitaka mwanamke aweze kupata haki zake, ni lazima nafasi yake itambulike katika jamii. Jamii itambue nafasi ya mwanamke katika jamii ni ipi. Mwanamke akitambulika katika jamii na jamii ikajua nafasi yake ni lazima itamwezesha mwanamke.
Tuwawezeshe watoto ili waweze kujua fursa na kuwa wanawake bora baadaye. Biblia inasema mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.
Watoto wa kike ndio wamama wa kesho. Ni lazima wazazi tuwawezeshe ili wapate elimu bora ambayo itawasaidia baadaye katika walezi ya watoto wetu kwa vile wao ndio hukaa na watoto kwa muda mrefu. Jamii tuwe na mtazamo chanya.
Wazazi tuondokane na mfumo dume ya kuwa kumsomesha mtoto wa kike ni hasara kwa vile ataolewa. Hayo ni mawazo hasi,

Watanzania tuwe na mawazo chanya,    )

No comments:

Post a Comment