Tuesday, 21 June 2016


SMGEO INAKUJA NA KAMPENI MPYA , IITWAYO "SEMA MTANZANIA,KUWASAIDIA WATANZANIA" ambayo inakupa nafasi yako wewe Mtanzania kutumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni bila kuvunja sheria kwa kusaidia serikali yako na wananchi wenzako.
Tumia fursa hii adimu kusema maoni yako kwa chochote ili Tanzania na wananchi wake wasonge mbele kimaendeleo.
Chakufanya Download hiyo picha  halafu andia caption au ujumbe wako kwa serikali au watanzania mwisho hitimisha kwa maneno  SEMA MTANZANIA, KUWASAIDIA WATANZANIA

SEMA KWA WATANZANIA, WASAIDIE WATANZANIA.
TANZANIA NI YETU , MAONI NI MSINGI WETU

Mkurugenzi Mtendaji
Social Mainstreaming for Gender Equality Organization
P.O.BOX 6444
MOROGORO TANZANIA
+255 753599 827
smgeo2015@gmail.com