Social Mainstreaming for Gender Equality Organization (SMGEO) is a Non Government Organization (National Level). It has been established on 10th August, 2015 by United Republic of Tanzania under the Ministry of Community Development,Gender and Children(MCDGC) .This is a National level Organization that have allowed to works its projects in Tanzania Mainland.
SMGEO Constitution
Tuesday, 22 March 2016
Tuesday, 15 March 2016
Monday, 14 March 2016
Elimu bora iwe daraja la kufikia usawa wa kijinsia : Faraja Nyalandu
Leo ikiwa ni siku 9 zimepita ya wanawake duniani, Balozi mwema wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF nchini Tanzania, Faraja Nyalandu amesema ili kufikia uwiano wa hamsini kwa hamsini kati ya wanaume na wanawake, lazima wanawake wapewe fursa ya kupata elimu bora.
Amesema hayo akizungumza na idhaa hii, akiongeza kwamba kupitia elimu bora wanawake watapata fursa ya kuwa nguzo ya ustawi na maendeleo na kunufaisha taifa kwa ujumla.
Bi Nyalandu amesema tayari hatua kadhaa zilichukuliwa ili kuwapatia wanawake nafasi zaidi.
(Sauti ya Bi Nyalandu)
Aidha amesisitiza umuhimu wa kuendelea kuweka nafasi za upendeleo zilizowekwa kwa ajili ya wanawake katika sekta ya elimu na uongozi akisema
Subscribe to:
Posts (Atom)